Makala hii inaonyesha jinsi ya kutengeneza akaunti ya email (mfano info@domain.co.tz) ndani ya cPanel, kisha kuanza kuitumia kwenye Webmail, simu au Outlook.
Mahitaji
-
Uwe na hosting iliyo active DUHosting
-
Uwe na login ya cPanel (au uombe kwa admin wa website)
Hatua za kutengeneza Email Account
-
Ingia cPanel
-
Tafuta sehemu ya Email → chagua Email Accounts
-
Bonyeza Create
-
Chagua domain husika (kama una domains nyingi)
-
Weka:
-
Username (mfano:
info,sales,support) -
Password (tumia “Generate” kwa usalama)
-
Mailbox quota (unaweza kuweka Unlimited au kiasi)
-
-
Bonyeza Create
Hatua za kuunganisha kwenye simu/Outlook
-
Kwenye Email Accounts, tafuta email yako
-
Bonyeza Connect Devices / Set Up Mail Client
-
Chagua app unayotaka (Outlook / Android / iPhone) au tumia Manual Settings
Ukiwa Android, unaweza pia kufuata mwongozo wa “Android setup” (Article #5 hapa chini).
Vitu muhimu vya ku-set baada ya kutengeneza email
Change Password mara kwa mara
Forwarders (kuelekeza email kwenda Gmail n.k.)
Autoresponder (majibu ya moja kwa moja)
Spam Filters (kupunguza spam)